Somo la Uongozi.

Somo la uongozi

Lengo la kujifunza-kut 24:12-18

 

 1. Kumfanya kiongozi awe bora zaidi   
  • Kiakili(2tim 2:7)
  •  
   • Namna anavyoishi
   • Namna anavyofikiri
   • Namna anavyoamini(yosh 24:15)
    *Tabia ina sauti katika maneno
  • Kiroho-neno la Mungu ni mwongozo halali kwa kiongozi
   -uwepo wa kiongozi kwa Mungu,huleta uwepo wa Mungu kwa kiongozi
  • kimaadili- nidhamu ya kiongozi huwavuta wengi,vivyo tabia mbaya ya kiongozi hupoteza wengi wasifike kwenye lengo (mith 15:33)

 

maisha ya kila siku ya kiongozi

1.     Ana utaratibu mzuri wa kulinda kiroho chake(spirituality)

 • muda wa maombi wa kibinafsi
 • kujifunza neno kwa kujisomea na kuhudhuria mafundisho kwa bidii
 • muda wa kukaa na kuihudumia familia(mume na watoto)

2. Yuko makini kujua wajibu alio nao mbele ya Mungu na mbele ya anao waongoza (1tim3:15)

 • ni mwaminifu
 • ni mpenda umoja
 • hujilinda na uovu(mith 16:17)

3. anayo bidii ya ziada katika utendaje wake

 • utu wake
 • nguvu,si mlegevu
 • mawazo mema na mapya

N.B uwe kielelezo katika kanisa

 • utoaji
 • utii kwa mchungaji
 • mahudhurio
 • kujali wengine

4. Ana moyo mwema wa kupambanua hila za adui

-si mwepesi wa hasira,lawama na manung’uniko

-epuka udhuru wa mara kwa mara(jifunze kujitoa)

5. jitahidi maisha yako yawe mvuto kwa wengine

                    -chumvi

                    -nuru

 •  
  •  
   • chumvi-kuzuia kuharibika,ladha(lugha nzuri ya maisha)

sababisha kiu ya Mungu kwa watu – kiu, (nyeupe – utakatifu)

 •  
  •  
   •  nuru – watu wamwone Mungu na utendaje wake kupitia wewejitahidi kuona mafanikio ktk maeneo mengi

mfano (ktk kanisa)

-Mchungaji na familia

-Washirika wenzio

-Hata maadui(mith 25:21)

6. uwe na ushindi juu ya roho ya kukata tama, usiwe mwepesi wa kuvunjika moyo ili wengine wajifunze kwako(zab 50:3, zab 138:8). mith 24:10-ukizimia siku ya tabu nguvu zako ni chache

 

Gharama ya uongozi

1. kujikana mwenyewe(marko 10:44-45)

 

2. upweke – lazima uwe na nyakati zapeke yako na Mungu kujitoa kwigi(2 tim 1:15)

 

3. uchovu – (wa kwanza na wa mwisho)

*kiongozi ujue mahali pa kuchota nguvu mpya – 2 cor 4:16

4. malaumu (au lawama)

elewa hakuna kiongozi aliyesamehewa kulaumiwa na hapa ndipo kinapopatikaa kipimo cha unyenyekevu

* matukio mengi yanatupata,je unayapokeaje?

          Jifunze kwa nehemia(neh 1:4)

5. usimkosee Mungu kwa sababu ya kukataliwa na watu (komaa mjue Mungu)

 

umuhimu wa tabia za kiungu kwa kiongozi (mdo 11:24)

kiongozi wa kiroho ni lazima ajivike tabia za kiungu, ambazo zina uwezo mkuu kwa kiongozi mhusika na wale anaowaongoza

1. mtu mwema : - mtauwa

-kuali watu

-upendo –huwezi kuwaongoza watu kama hauwapendii

-saburi

-kiasi(self-control).

2. kujaa roho – kiongozi aliyejaa roho ndani yake iko;

          -hekima

          -maarifa

          -ufahamu

          -busara

          -nguvu

          -mamlaka

          -utukufu –anointing – upako

          -roho ya maombi – hutoa karama kuu ya uongozi

                   -unashinda magumu

                   -unakuwa na kibali

                   -unatimia kwa kusudi.

3. imani –kujidhabihu

                   -kujithubutu

                   -msimamo

-Mfano musa: (kut 14:13) musa akawaambia watu msiogope,bwana atakayowafanyia leo kwa maana hao wamisri mliowaona leo hamtawaona tena milele

#kinywa cha musa kilikuwa kinanena yale ambayo Mungu angefanya